Wakwavi

Wakwavi ni kundi la wafugaji nchini Tanzania, waliohesabiwa kuwa 7,378 katika sensa ya mwaka 1957.

Uhusiano wao na Wagogo na Wamasai unajadiliwa.

Lugha yao inaitwa Kikwavi.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy